baby boy!
Fridah! Baada ya kumaliza kipindi cha week end nikamkuta nje tayari kwa kusepa!
Nikiwa naelekea hom nikamkuta Ben (mmiliki wa Blue Sky)Ofisi inayofanya vizuri mkoani Iringa kwa kusambaza Muvie za Kibongo hapa akiwa anachart na ma fans kwenye mtandao wa facebook.
Kufurahi ni sehem ya maisha yake. (Beny)
Hii ni picture ambayo Freizy aling`arisha kupitia mtandao huu alipata kuni2mia then nikaifanyia malogo.(hiyo nimeitengeneza jana usiku)
Vituko huwa haviishi hapa duniani nimekuta huyu jamaa amejifungi Club V.I.P maeneo ya jikoni amekaka usingizi
hapa usingizi ulipozidi kunoga jamaa akawa anapoteza muelekeo wake kabisa.
hapa baada ya kunistukia dili langu la kumpiga picture.
Jembe langu likiwa linamtandika m2! ki2 cha poool table ndani ya Club V.I.P Night
No comments:
Post a Comment