Anaitwa Cyrill Fransisco jina la kisanii anatumia Cyrill, msanii wa bongo fleva anayeiwakilisha hip hop ya kibongo vizuri sana. Cyrill baada ya masomo ametoa wimbo wake mpya unaoitwa NIMERUDI, wimbo unaoelezea kurudi kwake na ukimya wake aliouwacha bado mambo ni yale yale.
Hapa Cyrill amemaliza Interview ndani ya Nuru fm(Iringa) kwenye kipindi cha 124Click alipokuwa akizungumzia Show ambayo wamekuja kufanya Iringa katika viwanja vya Mwembetogwa siku ya tarehe 16/07/2011 chini ya udhamini wa SBC (watengenezaji wa kinywaji cha Pepsi)
Steve kasampaida (Mmiliki wa blog hii ya Bongo120) akiwa na Cyrill ndani ya Nuru fm Iringa.
No comments:
Post a Comment