Banjuka na Pepsi ilikuwa kwenye Viwanja Vya Mwembetogwa Burudani mfurulizo bureeeeee

Dj Man Simple on the 1&2.
Shughuli zikiendelea huku wakazi wakipata Burudani
Baadae kwenye kipindi cha mkasa wa maisha ndani ya nuru Fm nilikuwa na mgeni toka IDYDC ambaye nae nilikuwa nae akiwa kama mgeni kwenye kipindi hicho.
Mr Jacob Milinga
KISHA SIKU HAIKUISHIA HAPO
Baada ya mambo mengi kutokea ikawa Zamu ya burudani ndani ya Club V.I.P
Moja kati ya maDj wanaopagawisha wapendi wa Music ndani ya Club V.I.P ni Dj Frexy.
Wakati ukafika kama kawaida Dj Joe! mkali wa maDj akawapagawisha wadau wa Old Scul.
Mmmmhh! hapo no Coment!
No comments:
Post a Comment