Thursday, August 11, 2011

Kondakta apigana na abiria.

Tukio hili limetokea maeneo ya Kituo cha mwenge baada ya Kondata kubishana kwa muda mrefu na abiria huyo ambao wote kwa pamoja majina yao hayakuapatikana kiurahisi ila chanzo cha ugomvi huo ni baada ya abiria huyo kugoma kulipa nauli kwa kigezo ya kwamba basi hilo halijamfikisha mahali alipokuwa anaelekea ndipo ulipozuka ugomzi mkubwa ndani ya gari hilo lenye nambari za usajiri T 733 ADW Inayofanya safari zake za TEMEKE na MWENGE.
Hapa kama unavyojionea kwenye picha Abiria huyo akiwa amezidiwa na Kondakta kwa pokea kipigo kikali huku dereva akiwa ndani ya gari hiyo na asizungumze wala kujishughulisha na jambo lolote ndani ya gari heva kuwa iyo huku ugomvi huo ukiwa unaendelea jambo ambalo lili wafanya watuwengi wamshangae na kumuona ni mtu watofauti sana Baada ya mapambano makali ndipo watu walipo,shauri derereva kuwa anapaswa awashe gari na kuwapeleka kitio cha Polisi.

No comments:

Post a Comment