Saturday, March 5, 2011

SASA NI ZAMU YA BEBE COOL KULA KICHAPO

Bebe Cool alichezea kichapo hivi karibuni pande za nje ya duka maarufu liitwalo Ntinda Shopping Centre,baada ya ku-park gari lake aina ya Hummer nje ya duka hilo,kuingia humo ndani kwa ajili ya kufanya shopping na wakati anatoka dukani humo aliliona gari jingine lime-park vibaya mpaka akashindwa kutoa gari lake na kusepa.
Kwenye hilo gari kulikua na mdada  Bebe akaanza kumsemea mbovu,muda si mrefu akatokea njemba ya yule dada na kuanza kusemeana mbovu ndio Bebe Cool,ndio akaanza kupewa dozi  kadhaa na mpaka akaomba msaada wa security waliokuepo pande za duka hilo.
Hivi karibuni Bebe Cool alichezea dozi nyingine  toka kwa member wa zamani wa kundi lake la Gagamel Crew ambao kwa sasa wanaojiita Kiwoko Boyz kwenye sherehe za chama cha NRM pande za kololo.

No comments:

Post a Comment