Saturday, March 5, 2011

Justin Drew Bieber amtambulisha mwandani wake

Artist Milionea....Justin Drew Bieber,ametimiza miaka 17 juzijuzi tu tarehe 1 March 2011,na amefunguka na kumtambulisha Mpenzi wake anayekwenda kwa jina la Selena Gomez! Selena Marie Gomez (miaka 18) anatokea pande za Grand Prairie,Texas-Marekani naye ni star ile mbaya coz ni Muigizaji,Muimbaji na ni Balozi wa heshima wa Mfuko wa kimataifa wa watoto wa shirika la Umoja wa mataifa,UNICEF (UNICEF Good will Ambassador)
 

No comments:

Post a Comment