Jamani tukubali tukatae ifike hatua wa Tanzania tuambizane ukweli kutokana na matukio haya inaonyesha wazi kabisa HAKUNA FAIDA YA POME katika mwili wa binaadam yeyote yule na mara kwa mara huishia kukudharirisha na kukufasha upoteze sifa na heshima uliyo nayo hapo hawali.
Nilkipokwa kwenye matembezi yangu leo ndipo nilipokutana na bwana huyu anayeonekana kwenye picha hiyo hapo chini bada yakuona kuwa ameshindwa kuendelea na safari nakuona bora akae barabarani na kujilaza kwa mara kw akuona kuwa yupo sahihi.
No comments:
Post a Comment