![]() |
Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Haruna Masebu |
Baada ya inchi yetu kuwa matatani kutokana na Gharama za mafuta kupanda Mh: Masebu Watanzania tunatarajia leo utatoa tamko kuhusu bei za mafuta kama ulivyozungumza hapo awali yakwamba "Itakapo fikia tarehe 1 Agust basi bei ya mafuta ya Petrol na diesel itakuwa imepunguwa ukilinga nisha na gharama ya mafuta yataaa itatakwa kupanda kidogo ili kudhibiti uchakachuaji unaofanywa na baadhi ya wamiliki wa vituo vya mafuta hapa inchini" Watanzania wakiwa kwenye kusubiri kauli hiyo siku ya leo huku wakiendelea kutafakari matumizi ya mafuta hayo ni wakinanani walengwa haswa huku wakiangalia wakazi wengi waishio vijijini nini hatma yao.
![]() |
Hizi ndizo bei za mafuta kwa sasa. |
No comments:
Post a Comment