Saturday, July 9, 2011

Week end kwa watoto wa Iringa.

Mtoto huyu anaitwa Jumanne hapo akiwa kwenye pozi za Week end nimekutana nae akiwa kwenye harakati za kucheza na watoto wenzie Iringa maeneo ya Ilala.
Sister du! wa miaka ijayo hapo akiwa kwenye pozi la mguu mmoja. umeiona hiyo?
 Hizo pozi 2!
 Huyu nimekutana nae usiku huu anaelekea kwenda kumwaga taka karibu na maeneo ya stend kuu ya Iringa Town.

No comments:

Post a Comment