Sunday, July 10, 2011

Michuano ya Pool Table Mkoani Iringa.

Hao ni Moja kati ya wahusika (kulia) ni Salum ambaye ni mwenyekiti wa chama cha Poll table mkoan Iringa.
 Hiyo ndo meza kuu ya waandaaji wa michuano hiyo kutoka TBL
 Washindi wa michuano hiyo timu ya Garden wakiwa kwenye pozi ya pamoja huku wakishangilia kombe lao.
 Garden Crew

No comments:

Post a Comment