Tuesday, August 2, 2011

Furaha afunguka na Pnc

Mwana dada anaye julikana kama Ludakey Dominic a.k.a Furaha katika Music wa kizazi kipya toka Nyanda za juu kusini, Baada ya kumute kwa mudah! mrefu sasa amekuja kwa ujio mpya baada ya kufanya kati yake mpya inayokwenda kwa jina la " Juu yako" akimshirikisha mtaalam wa kulilia viburudisho maarufu kama P.N.C  
Furaha
 Furaha alipozungumza na Bongo120 alisema kwamba yupo kwenye maandalizi ya kufanya video ya ngoma hiyo na kuongezea kuwa tatizo lililokuwa limejitokeza hapo awalilililosababisha ukimya wake ni kubanwa na masomo yake ya chuo kikuu
P.N.C
Nje ya hayo furaha alifunguka nakusema kuwa ngoma yake hiyi imefanyika katika studi za "TIMAMU RECORD`S" Iliyopo Iringa na Producer aliyefanya ngoma hiyo ni " Isiaka Mc" ambaye ni Producer & Radio Presenter at the same time.
Producer Isiaka Mc
ILI KUPATA NYIMBO YA "JUU YANGU" (Angalia upande wakulia kwenye new bongo flava ili kudownload.

No comments:

Post a Comment