Sunday, July 10, 2011

Jamani Iringa kuna baridi!

Mzee huyu nimekutana nae maeneo ya barabara 2 Mjini iringa akiwa ameacha shughuli zake huku akiwa ameketi kando ya barabara kuweza kupata nishati ya jua baada ya kupulizwa na baridi asubuhi hii!
Mkoani Iringa, Huku mkoa huo ukiwa bado na sifa ya kuwa na baridi kali kwa kipindi hiki cha kuanzia mwezi wa 6na kuendelea. 

No comments:

Post a Comment