Tuesday, July 19, 2011

Iringa wamemuua nyati leo.

Huyu ndio nyati aliyeuwawa maeneo ya Wilolesi Mkoani Iringa baada ya kutoroka Mbugani nakuonekana maeneo ya wilolesi karibu na kanisa la Anglikana.
Hapa akiwa ameuwawa.
 Hapa waandishi wa habari wakifanya mahojiano na wahusika wasimamizi wa wanyamapoli pamoja na Jeshi lakutuliza ghasia katika eneo la tukio. Nataharifa zilizopo kuhusu Nyati huyo nikwamba hakuna madhara aliyoyafanya kwa wananchi.
 Huu ndio muonekano wa nyati huyo kwa mbele.
Mmoja kati ya waandishi wa habari wa I.T.V  Bw. Sevanusi akipata  picture ya kumbukumbu ya marehem nyati

Ruksa ikatoka kwa Askari wa nyama pori kitu kikachinzwa.

No comments:

Post a Comment