Tuesday, April 12, 2011
GUCCI MANE HATARINI KURUDI JELA KWA MARA NYINGINE
Radric Davis aka Rapper Gucci Mane amekamatwa jijini Atlanta,baada ya baada ya mwanamke mmoja kudai kuwa alimsukuma wakati gari liko kwenye mwendo
Diana Graham -36 amewaambia maafisa wa usalama kuwa Rapper Gucci Mane alimsukuma nje ya gari lake,aina ya Hummer mwezi January baada ya kukataa kuondoka nae kwenda hotelini,na baadaye kupelekwa hospital kutibiwa majeraha
Diana Graham alisema kuwa alimtambua kama ni Gucci Mane aliyemsukuma baada ya kuona tatoo ya ice cream cone usoni,kabla ya kumualika breakfast na kukataa ofa ya dola 150 ili aende naye hotelini
Mwaka jana Gucci alitumikia miezi 6 jela kwa kosa la kujeruhi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment