SUGU ATEULIWA KUWA WAZIRI KIVULI WA HABARI MICHEZO NA UTAMADINI
Msanii mkongwe wa Hip-Hop toka Tanzania ,Mwanaharakati na Mbunge wa Mbeya-Mjini (CHADEMA) asiyependa kuitwa mheshimiwa,Joseph Osmond Mbilinyi aka Sugu ameteuliwa na Kiongozi wa upinzani bungeni,Mh Freeman Aikaeli Mbowe (Mbunge wa Hai) kuwa Waziri kivuli aka Shadow Minister wa Habari,Michezo na Vijana,kwenye Bunge la Kumi linaloendelea mkoani Dodoma. Waziri Original wa Habari,Michezo na Vijana ni Mh William Nchimbi..
No comments:
Post a Comment