Friday, February 4, 2011
Dj pirlo kwenye mixer!
Haya wajameni huyu nimoja kati ya wa2 ambao mimi ninawakubali! but sio mimi pekee ila mpaka uongozi mzima wa Pro24 Djs wamekiri hili kwamba jamaa anaye kwenda kwa jina la Dj Pirlo ni mkali wa kuchezea mashine zilizokwenda kidato na kuwafanya mashabiki wa muziki kupagawa! mbaya zaidi kijana huyu kutokana na umahiri wake uongozi huo wa Pro24 umeamua kumkabidhi kijana huyu mji wa Iringa ili wakazi wote wa Iringa watambue uwezo huo ninaouzungumzia na Nje ya hilo kijana huyu anayejulikana kwa jina la Dj Pirlo anajishughulisha na Moja ya Radio kali mjini hapa inayofahamika kwa Nuru fm 93.5 Mhz ni noumah!!!! kwa upatikanaji wake kwa maeneo ya Starehe mtafute ndani ya Club V.i.p utambue ukweli kuhusu hili! or check nae kupitia manp88@hotmail.com chao!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment