Jamani pengine naweza kukubali kuwa sijui Sheria Lakini ni haki kwa Askari huyu wa Usalama Barabarani kuenda kwa mama huyu anayefanya huduma ya kupatia watu chakula huku akiwa amevalia kofia yake ya kazi eti kwa ajili yakwenda kupata chakula mahali hapo?
Ninachofikiri nivema angekuwa amevua kofia yake baada ya kufika mahali hapo na kuagiza chakula kutoka kwa mama huyo na ndio utaratibu kwa mujibu wa kazi yake lakini chakushangaza nimemkuta askari huyo akuwa bado amepigilia mavazi yake ya kazi na kofia yake huku akizungumza na mama huyo kuhusu kumuhudumia chakula cha mchana, Huku nikifikiri kuwa Askari huyo ambaye sikuweza kupata jina lake kwa haraka kuwa hakujua kinachotakiwa kufanyika kwa kofia yake hiyo.
nahisi alikuwa anataka rushwa
ReplyDelete