Saturday, April 30, 2011

Hili sasa balaa...............!!!!!!!!!!!!!!!!

Mambo ni live live baada ya uzalendo kuwadondosha na kuishiwa ustahimilivu, Nikati ya wanafunzi wa Secondari walipobambwa live wakijichakachua pasipo halali.............

Thursday, April 28, 2011

Hapa hatoki m2...!

Anaitwa Rose Mlingi.

UNDUGU JAMANI............!!!!!!

Wadau hawa ni ndgu zangu wakaribu sana toka longtimne r go! nikati ya wana ambao nimesha wahi kufanya nao kazi sehem nyingi katika kutafuta salio. kama unavyojionea hapa wapo katika pozi la kiyunani ni Herry,na Hussen wakiwa na mwanadada wa ukweeeeehhhh..... lol!

Wednesday, April 27, 2011

Check na Colbie Caillat - I Do

Colbie Caillat’s new album “All of You” will be released through Universal Republic Records, on 12th July 2011. Rapper “Common” is featured on “Favorite Song”, which she wrote with Ryan Tedder along with “Brighter than the Sun”. Toby Gad, Jason Reeves, Rick Nowels, and Justin Young all collaborated on the album. The album was written [...]

Check na Lady Gaga - Born This Way

The video for Lady Gaga’s latest track “Born This Way” (above) has premiered this week, already attracting over 2.4 million views on YouTube since it was uploaded on 27 February 2011. The video features Lady Gaga as the “Big Mother” in outer space, in a start sequence which lasts over two minutes, that will appeal [...]

Tuesday, April 12, 2011

FAIDA YA KUUZA NGOMA ONLINE HIZI HAPA!



Hip Hop artist .Fareed Kubanda Mwite Fid Q amezungumzia faida za kuuza album kwenye mtandandao aka online na kusema kuwa si kweli kuuza album sokoni kuwa hailipi
Fid Q anauza mziki wake online na kusema kuwa kuuza sokoni na kusrma katika soko hilo linalipa ,bali inategemea bahati ya mtu tu,kwa sababu yeye kashawahi kugonga copy nyingi sokoni na ameishia kusign mara 3 na sasa hivi anajiandaa kwenda tena kugonga copy nyingine...na hizo ndizo Link ambazo unaweza kupata album ya Fid Q-Propaganda

WATOTO WAFATA NYAYO

Watoto wa Nathaniel Dwayne Hale aka Rapper Nate Dogg aliyefariki March 15, 2011,wamesema wanataka kufuata nyayo za baba yao Hip-Hop Star, Nate Dogg ili wawe wanamuziki ili kumuenzi
Watoto Lil Nate (miaka 15) na Naijiel (miaka 15) wamesema kuwa wanategemea kupata msaada mkubwa toka kwa uncle wao Snoop Dogg, kupitia website yake ana mpango wa kuwafungulia mfuko maalum kwa ajili ya familia ya watoto wa Nate Dogg kuwasaidia kwa matatizo mbali mbali pia amechora tatoo mkononi ya Nate Dogg kwa ajili ya kifo chake,Nate Dogg ameacha watoto 6 na alizikwa Jumamosi ya tarehe 26 March 2011

GUCCI MANE HATARINI KURUDI JELA KWA MARA NYINGINE



Radric Davis aka Rapper Gucci Mane amekamatwa jijini Atlanta,baada ya baada ya mwanamke mmoja kudai kuwa alimsukuma wakati gari liko kwenye mwendo
Diana Graham -36 amewaambia maafisa wa usalama kuwa Rapper Gucci Mane alimsukuma nje ya gari lake,aina ya Hummer mwezi January baada ya kukataa kuondoka nae kwenda hotelini,na baadaye kupelekwa hospital kutibiwa majeraha
Diana Graham alisema kuwa alimtambua kama ni Gucci Mane aliyemsukuma baada ya kuona tatoo ya ice cream cone usoni,kabla ya kumualika breakfast na kukataa ofa ya dola 150 ili aende naye hotelini
Mwaka jana Gucci alitumikia miezi 6 jela kwa kosa la kujeruhi