Sunday, March 6, 2011

Kalapina: MAISHA YANGU NYIMBO TOSHA.

Baada ya kukaa kimya kwa Muda mrefu sasa Kalapina atarajia kufanya uzinduzi wa haina yake
Karama Masoud aka Kalapina toka Kikosi cha Mizinga amedondosha mzigo wa single mpya iitwayo Hasira.
Pina pia anatarajiwa kuzindua album yake tarehe 27 March 2011, ndani ya Maisha Club na Album inaitwa "Maisha Yangu Nyimbo Tosha"

Saturday, March 5, 2011

Unajua ukweli kuhusu Kanye west?

Kanye Omari West (born June 8, 1977 in Atlanta, Georgia) is a Grammy award winning rapper, producer, author, designer and singer.

He began making beats and rapping in the early 90s in Chicago, IL, United States when he formed the rap group GO GETTERS with Chicago natives GLC and Really Doe. He later gained nationwide popularity in New York when he began producing tracks for artists such as Jay-Z,

Justin Drew Bieber amtambulisha mwandani wake

Artist Milionea....Justin Drew Bieber,ametimiza miaka 17 juzijuzi tu tarehe 1 March 2011,na amefunguka na kumtambulisha Mpenzi wake anayekwenda kwa jina la Selena Gomez! Selena Marie Gomez (miaka 18) anatokea pande za Grand Prairie,Texas-Marekani naye ni star ile mbaya coz ni Muigizaji,Muimbaji na ni Balozi wa heshima wa Mfuko wa kimataifa wa watoto wa shirika la Umoja wa mataifa,UNICEF (UNICEF Good will Ambassador)
 

SASA NI ZAMU YA BEBE COOL KULA KICHAPO

Bebe Cool alichezea kichapo hivi karibuni pande za nje ya duka maarufu liitwalo Ntinda Shopping Centre,baada ya ku-park gari lake aina ya Hummer nje ya duka hilo,kuingia humo ndani kwa ajili ya kufanya shopping na wakati anatoka dukani humo aliliona gari jingine lime-park vibaya mpaka akashindwa kutoa gari lake na kusepa.
Kwenye hilo gari kulikua na mdada  Bebe akaanza kumsemea mbovu,muda si mrefu akatokea njemba ya yule dada na kuanza kusemeana mbovu ndio Bebe Cool,ndio akaanza kupewa dozi  kadhaa na mpaka akaomba msaada wa security waliokuepo pande za duka hilo.
Hivi karibuni Bebe Cool alichezea dozi nyingine  toka kwa member wa zamani wa kundi lake la Gagamel Crew ambao kwa sasa wanaojiita Kiwoko Boyz kwenye sherehe za chama cha NRM pande za kololo.

Tuesday, March 1, 2011

Ay ndani ya India.

AY leo atakamua ndani ya BANGAROLE INDIA kwenye ukumbi wa Blue Waves kisha Jumamosi ataelekea kwenye mji mwingine wa Hyderabad ambapo atapiga show ya pili.Pichani AY akipokewa na wadau mbali mbali (watanzania wenzake) wakati alivyowasili kwenye airport ya Bangarole akitokea Nairobi Via Dar es Salaam